Adam Peaty atwaa medali ya dhahabu

Image caption Adam Peaty apata medali ya dhahabu

Mwingereza Adam Peaty ametwaa medali ya dhahabu baada ya kuibuka bingwa katika michuano ya dunia ya mchezo wa kuogelea

Peaty ameshinda katika mbio za mita mia kwa kutumia dakika 58.52 huku Van der Burgh aliyeshika nafasi ya pili akitumia muda wa dakika 58.59. huku Ross Murdoch akishinda medali ya shaba

Siobhan-Marie O'Connor nae alishinda medali ya shaba katika mbio za mita 200 ya mchezji mmoja mmoja na kuwa mwingereza w kwanza kutwwa medali

Mashindano haya yanayoandaliawa na chama cha mchezo wa kuogelea duniani Fina yanafanyika katika mji wa kazi huko Urusi.