Timu ya Uganda ya riadha yaondoka

Image caption Timu ya Uganda ya riadha yaondoka

Timu ya Uganda inayokwenda kushiriki mashindano ya riaadha ya dunia kikosi cha wanariadha 11 wamekabidhiwa bendera ya taifa tayari kuondoka leo usiku.

Haki miliki ya picha AP
Image caption Bingwa wa Nishani ya dhahabu ya Marathon Stephen Kiprotich

Timu ya Uganda ya wachezaji 11 wakiongozwa na nahodha wao Stephen Kiprotich anayetea medali yake ya dhahabu,

wengine katika timu hiyo kuna wanariadha wa mbio za mita 10,000 watatu pamoja na mwana dada mmoja Juliet Chekwel.

Image caption Matarajio ya Uganda katika mshindano ya mwaka huu ni mbio za marathoni

Ronald Musagara mbio za mita 800 waliobaki ni mbio za mita 5000 na marathoni.

Matarajio ya Uganda katika mshindano ya mwaka huu ni mbio za marathoni pamoja na mita 10,000.

Ila kikosi hicho kinamukosa Moses Kipsiro ambaye hakufuzu kwenda Beijing akiwa na jeraha.