Arsenal yaichapa Newcastle 1 - 0

Haki miliki ya picha Reuters

Goli la kujifunga la mlinzi wa Newcastle Fabricio Coloccini umeifanya Arsenal kupata ushindi wa goli 1- 0.

Goli hilo la Arsenal lilifungwa mapema katika kipindi cha pili wakati winga wa timu hiyo Alex Oxlade-Chamberlain alipopiga shuti kali na kugonga mwamba na kurudi na kumgonga mlinzi wa Newcastle Coloccini na kujaa wavuni.

Newcastle ilibidi kucheza wakiwa kumi uwanjani baada ya mshambuliaji wao Aleksandar Mitrovic kutolewa kwa kadi nyekundu katika dakika ya 16 baada ya kumfanyia faulo kiungo wa Arsenal Francis Coquelin.

Newcastle leo haikuweza kabisa kupiga shuti lolote kulenga goli la Arsenal

Newcastle United

01 Krul

22 Janmaat

18 Mbemba- kadi ya njano

02 Coloccini Booked19 Haidara

08 Anita - kadi ya njano (Pérez - 72' )

04 Colback

07 Sissoko Booked (Cissé - 78' )

05 Wijnaldum - kadi ya njano

20 Thauvin Booked (de Jong - 87' )

45 Mitrovic - kadi nyekundu

Wachezaji wa akiba

09 Cissé

10 de Jong

14 Obertan

17 Pérez

24 Tioté

26 Darlow

27 Taylor

Arsenal

33 Cech

24 Bellerín

05 Gabriel

06 Koscielny

18 Monreal

34 Coquelin

19 Cazorla - kadi ya njano

15 Oxlade-Chamberlain (Arteta - 81' )

16 Ramsey

17 Sánchez

14 Walcott (Giroud - 70' )

Wachezaji wa akiba

02 Debuchy

03 Gibbs

08 Arteta

12 Giroud

13 Ospina

21 Chambers

28 Campbell