Liverpool, Chelsea zafungwa nyumbani

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Meneja wa Liverpool Brendan Rodgers

Liverpool na Chelsea zimeadhibiwa baada ya kupokea vichapo kutoka kwa wapinzani wao.

Liverpool iliadhibiwa na wapinzani wao West Ham kwa kufungwa magoli 3 - 0 ambacho ni kichapo cha kwanza tangu kuanza kwa msimu huu wa ligi kuu ya England.

Nayo Chelsea ikiwa nyumbani iliabishwa kwa kufungwa magoli 2 -1dhidi ya wapinzania Crystal Palace.

Liverpool

22 Mignolet

02 Clyne - kadi ya njano

37 Skrtel

06 Lovren 12 Gomez (Ibe - 78' ) 23 Can (Moreno - 45' ) 21 Lucas Booked 07 Milner 11 Firmino (Ings - 61' kadi ya njano ) 09 Benteke 10 Coutinho - kadi nyekundu

Wachezaji wa akiba

17 Sakho 18 Moreno 27 Origi 28 Ings 33 Ibe 34 Bogdan 46 Rossiter

West Ham United

01 Randolph 05 Tomkins 02 Reid 21 Ogbonna 03 Cresswell 08 Kouyaté 14 Obiang 16 Noble - kadi nyekundu 28 Lanzini Booked (Oxford - 82' ) 15 Sakho (Cullen - 96' ) 27 Payet (Jarvis - 88' )

Wachezaji wa akiba

07 Jarvis 34 Spiegel 35 Oxford 36 Lee 39 Cullen 42 Samuelsen 45 Knoyle