Bayern, Barcelona, Chelsea zashinda UEFA

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Bayern Munich na Arsenal wakichuana

Timu za Barcelona, Chelsea na Bayern Munich zilishinda katika mechi zao za klabu Bingwa barani Ulaya.

Wakati Barcelona ikichapa BATE Borisov kwa magoli 3 - 0 , Bayern Munich wao walitoa dozi ya magoli 5 - 1 kwa Arsenal.

Matokeo kamili ya mechi zilizochezwa haya hapa chini

Barcelona 3 - 0 BATE Bor

Bayern Munich 5 - 1 Arsenal

Chelsea 2 - 1 Dynamo Kiev

Roma 3 - 2 Bayer Levkn

Olympiakos 2 - 1 Dinamo Zagreb

M'bi Tel-Aviv 1 - 3 FC Porto

KAA Gent 1 - 0 Valencia

Lyon 0 - 2 Zenit St P