Rome mwenyeji fainali ya Gofu 2022

Haki miliki ya picha AFP

Mji wa Rome ulioko nchini Italy umechaguliwa kuwa wenyeji wa michuano ya gofu ya Ryder cup ya mwaka 2022.

Michuano hiyop itakua ya 44 kufanyika huku michuano hiyo ikifanyika kwa mara ya kwanza katika ardhi ya Itali. Mashindo haya yamekua yakifanyika kati ya ulaya na Marekani.

Michuano hii imefanyika nje ya ulaya mara tano tu kwa miji ya Muirfield 1973, Gleneagles Scotland mwaka 2014, Hispania mwaka 1997, Jamuhuri ya Ireland 2006 na Wales 2010

Itali imetwaa nafasi hiyo baada ya kuzishinda za Austria, Ujeruman na Hispania katika dzabuni ya kusaka nafasi hiyo.