Andy Murray ni mchezaji bora Uingereza 2015

Haki miliki ya picha PA
Image caption Andy Murray ni mchezaji bora Uingereza 2015

Mchezaji Tennis Andy Murray ameibuka kuwa mshindi katika kura za kusaka mchezaji bora wa Tennis katika shindano lililoandaliwa na BBC.

Murray alikabidhiwa zawadi hiyo huko Ireland ya Kaskazini na Mwanamasumbwi mkongwe Barry Mc Guigan mbele ya mashabiki wapatao 7,500 na umati wa watu waliohudhuria katika shughuli hiyo.

Mshindi huyu mara mbili kwa tuzo hizo, Andy Murray katika kipindi cha miaka 3.

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Mwaka huu ameonekana kuboresha kiwango chake na amefanikiwa kufikia fainali za mashindano ya Austarilia na fainali za Wimbledon.

Mwaka huu ameonekana kuboresha kiwango chake na amefanikiwa kufikia fainali za mashindano ya Austarilia na fainali za Wimbledon.