MOJA KWA MOJA:Man City dhidi ya Crystal Palace

Timu ya Manchester City ni wenyeji wa Crystal palace katika mechi ya ligi kuu ya Uingereza.

7.40pm:Matokeo ya ligi ya Uingereza Kufikia sasa

Tottenham 4 - 1 Sunderland

Bournemouth 3 - 0 Norwich

Chelsea 2 - 2 Everton

Man City 4 - 0 Crystal Palace

Newcastle 2 - 1 West Ham

Southampton 3 - 0 West Brom

7.37pm:Gooooooooal Mancity 4 0 Crystal Palace

David Silva afunga

7.35pm:GOAL - Southampton 3-0 West Brom

7.30pm:GOAL - Chelsea 2-2 Everton

7.22pm:Gooooooooal Aguero aifungia bao la pili na la tatu kwa juma kilabu yake ya Manchester City.City 3-0 Crystal palace

7pm:Kipindi cha pili cha mechi kati ya Mancity dhidi ya Crystal Palace chaanza

6.47pm:Everton 0-0 Chelsea.Mechi hiyo inakujia baada ya kocha Guus Hidink kutamka kwamba Chelsea ipo katika tishio la kushushwa daraja.

6.45pm:Na Kipindi cha kwanza cha mechi kati ya Manchester City dhidi ya Crystal palace chakamilika

Image caption Wijnaldum,

"Krosi nzuri na ambaye amefunga mabao kadhaa kwa Newcastle msimu huu aliongeza idadi hiyo .lakini kwa jumla ni bao lililofungwa kwa uzuri sana.

Newcstale 2-0 West ham

Image caption Kun Aguero aipatia City bao lake la pili

5.38pm:Goooooooal Kun Aguero aipatia Manchester City bao la pili na kuimarisha hari yao ya kuwa katika kilele cha ligi ya Uingereza

6.36pm:Hali ilivyo katika matokeo mengine ya ligi ya Uingereza

Tottenham 4 - 1 Sunderland FT

Bournemouth 1 - 0 Norwich L

Chelsea 0 - 0 Everton L

Man City 1 - 0 Crystal Palace L

Newcastle 2 - 0 West Ham L

Southampton 2 - 0 West Brom L

6.35pm:Manchester City yazidi kushambulia lango la Crystal palace

Image caption Wachezaji wa mancity wakisherherekea

6.10pm:Gooooooal Kiunga wa kati wa Mancity Fabian Delph aiweka mbele Manchester City na kuipa fursa timu hiyo kupanda katika jedwali la ligi ya Uingereza.

Image caption Aguero akifanya mashambulizi

6pm:Mechi kati ya Mancity dhidi ya Crystal palace yaanza.