Je, Man City watapanda kileleni leo?

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mancity dhidi ya Crystal Palace

Nahodha wa kilabu ya Manchester City ambaye anauguza jereha Vincent Kompany huenda asicheze hadi mwisho wa msimu.

Wilfried Bonny ,Fernandinho,Eliaquim Mangala,Samir Nasri na Patrick Roberts pia watakosa kushiriki.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Pelegrini kushoto na Alan Pardew kulia

Winger wa Crystal Palace Yannick Bolasie atasalia kuuguza jereha la mguu.

Dwight Gayle hajulikani iwapo atashiriki licha ya kurudi zoezini baada ya kuuguza jereha la paja huku naye Connor Wickham akitarajiwa kurudi katika kikosi cha kwanza.