Man Utd 3 - 2 Arsenal

Man Utd 3 -2 Arsenal

90'+5'

Mpira umekwisha.

90'+3'

Adnan Januzaj (Manchester United) aoneshwa kadi ya njano

90'+2'

Mesut Özil (Arsenal) aoneshwa kadi ya njano

88'' Kona ya Manchester United.

83'' Badiliko

Man Utd 3 -2 Arsenal

Arsenal. Alex Iwobi anachukua nafasi ya Danny Welbeck uwanjani.

80'' Man Utd 3 -2 Arsenal

Manchester United.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Mesut Ozil

Adnan Januzaj anachukua nafasi ya mfungaji mabao Marcus Rashford

76'' Man Utd 3 -2 Arsenal

Aaron Ramsey na Ander Herrea wanaendelea na vuta nikute uwanjani.

Kocha Van Gaal amekasirishwa na uamuzi wa refarii

69''GOOOOOOOL

Man Utd 3 -2 Arsenal

Mesut Ozil

GOOOOOOOOOOOL

Man Utd 3 -1 Arsenal

Ander Herrera

Badiliko:

Haki miliki ya picha AFP
Image caption Olivier Giroud

Walcot anampisha Olivier Giroud

57'' Freekick kuelekea lango la Manchester United

Man Utd 2-1 Arsena

Gabriel Paulista (Arsenal)

Badiliko:

Timothy Fosu-Mensah, anaingia na kuchukua nafasi ya Marcos Rojo

Marcus Rashford anaendelea kucheza licha ya kuchechemea

51'' Freekick (Arsenal) Theo Walcott

49'' Man Utd 2-1 Arsenal

Marcus Rashford ameumia

Haki miliki ya picha AP
Image caption Danny Welbeck

47''Man Utd 2-1 Arsenal

Kipindi cha pili kimeanza hapa Old Trafford

Katika mechi nyingine inayoendelea

Tottenham 0-1 Swansea

Man Utd 2 - 1 Arsenal

Kipindi cha kwanza kimekamilika.

Sanchez anaupiga na inakuwa kona kuelekea lango la Manchester United

45'' Free-kick

Man Utd 2 - 1 Arsenal

Welbeck anapewa freekick nje ya eneo.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Wenger

Man Utd 2 - 1 Arsenal

40''

GOOOOOOOOOOL (Arsenal)

Danny Welbeck (Arsenal).

Man Utd 2 - 0 Arsenal

Marcus Rashford ameguza mpira mara mbili 2 katika eneo la Arsenal

Kocha Arsene wenger haamini macho yake

Man Utd 2 - 0 Arsenal

Haki miliki ya picha GETTY
Image caption Man Utd 2 - 0 Arsenal
GOOOOOOOOOOL

Marcus Rashford (Manchester United)

Amini usiamini chipukizi huyu amefunga bao la pili hapa Old Trafford

Anaifungia United bao la Kwanza

Man Utd 1 - 0 Arsenal

Haki miliki ya picha GETTY
Image caption Marcus Rashford (Manchester United)

Marcus Rashford (Manchester United)

27'' Free-kick Memphis Depay (Manchester United) kuelekea lango la Arsenal

25'' Free-kick kuelekea upande wa Manchester United

Francis Coquelin (Arsenal)

22'' Michael Carrick (Manchester United) aoneshwa kadi ya njano

20'' Alexis Sánchez (Arsenal) Anafyatua kombola lakini kipa nambari moja De Gea yuko macho

16'' Free-kick kuelekea upande wa Arsenal

Haki miliki ya picha PA
Image caption Memphis Depay

Marcos Rojo (Manchester United)

14'' Memphis Depay (Manchester United) anafyatua kombora lakini wapi ,,,,

kipa Peter Cech analala nayo!

Free kick- kuelekea upande wa Arsenal

13'' Marcus Rashford (Manchester United)

Man Utd 1 - 0 Arsenal

Danny Welbeck anakosa nafasi nzuri ya kuifungia Arsenal

Haki miliki ya picha GETTY
Image caption Je huyu ndiye mwokozi wa Manchester United

9'' Guillermo Varela (Manchester United) ameoneshwa kadi ya njano.

Free kick- kuelekea upande wa Man Utd 'Mesut Özil

5'' (Arsenal)

1' Danny Welbeck (Arsenal) anakosa nafasi nzuri ya kuiweka Arsenal mbele

Mashabiki wa Manchester United wanamtarajia huyu chipukizi Marcus Rashford kuziba pengo alilowacha Rooney

Mpira umeanza

Timu :Manchester Utd
Haki miliki ya picha EPA
Image caption Manchester United inaikaribisha Arsenal nyumbani kwao uwanjani Old Trafford licha ya kukabiliwa na majeruhi wengi.

1 de Gea 30 Varela 16 Carrick17 Blind5 Rojo28 Schneiderlin21Herrera35Lingard8Mata7Depay39Rashford

Wachezaji wa zaida

11 Januzaj 20 Romero 33 McNair 44 Pereira 47 Weir 49 Riley 51 Fosu-Mensah

Timu : Arsenal
Haki miliki ya picha AP
Image caption Wenger hajashinda katika mechi 8 za ligi Old Trafford

33 Cech 24 Bellerín 5 Gabriel 6 Koscielny 18 Monreal 16 Ramsey 34 Coquelin 14 Walcott 11 Özil 17 Sánchez 23 Welbeck

Wachezaji wa zaida

3 Gibbs 4 Mertesacker 12 Giroud 13 Ospina 28 Campbell 35 Elneny 45 Iwobi

Haki miliki ya picha All Sport
Image caption Van Gaal

Arsenal hawajashinda mechi yeyote kati ya 8 walizocheza uwanjani Old Trafford.

Arsenal imeshindwa katika 6 ya mechi hizo dhidi ya vibonde wao Manchester United.

Arsenal ilishinda mara ya mwisho uwanjani Old Trafford mwaka wa 2006.

Bao la ushindi wakati huo lilipachikwa kimiani na mchezaji wa Togo Emmanuel Adebayor.

Haki miliki ya picha EPA
Image caption Arsenal vs Manchester United

Iwapo Manchester United wataibuka na ushindi katika mechi hii wataweka historia kwa kuwa timu ya kwanza katika historia ya ligi kuu ya Uingereza kuishinda Arsenal katika mechi 50 za nyumbani.

Arsenal hawajawahi kufunga zaidi ya bao moja dhidi ya Manchester United katika mechi 23.

Haki miliki ya picha Getty
Image caption Matokeo ya Agosti tarehe 28 2011

Mara ya mwisho washika bunduki hao walipofunga zaidi ya bao moja ilikuwa ni miaka 5 iliyopita walipolimwa mabao 8-2 Old Trafford tarehe 28 Agosti 2011.

Arsenal 8-2 mwaka 2011.

Man Utd: De Gea, Evra, Jones, Evans, Smalling, Anderson, Nani, Young, Cleverley, Rooney, Welbeck

Arsenal: Szczesny, Koscielny, Djourou, Jenkinson, Traore, Walcott, Ramsey, Arshavin, Coquelin, Van Persie.