Ratiba ya mechi za kufuzu AFCON leo

Congo
Image caption Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watakuwa ugenini dhidi ya Angola

Uganda, Rwanda, Burundi na DR Congo ni miongoni timu za mataifa ya Afrika zitakazoshuka dimbani leo kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa Bingwa Afrika zitakazofanyika mwaka 2017 nchini Gabon.

Rwanda watakuwa nyumbani dhidi ya Mauritius nao Uganda wawe nyumbani dhidi ya Burkina Faso.

Hii hapa ndiyo ratiba ya mechi za leo.

(Kundi L) Malawi 14:30 Guinea

Uwanja: Kamuzu Stadium, Blantyre (MWI)

(Kundi K) Niger 15:00 Senegal

Uwanja: Stade Général S. k., Niamey (NIG)

(Kundi A) Togo 15:00 Tunisia

Uwanja: KEGUE, Lomé (TOG)

(Kundi J) Lesotho 15:00 Seychelles

Uwanja: Setsoto Stadium, Maseru (LES)

(Kundi H) Rwanda 15:30 Mauritius

Uwanja: Kigali, Kigali (RWA)

(Kundi A) Liberia 16:00 Djibouti

Uwanja: Antonitte Tubman Studium (ATS) , Monrovia (LBR)

(Kundi M) Gambia 16:30 Mauritania

Uwanja: Bakau, Bakau (GMB)

(Kundi B) Angola 17:00 DR Congo

Uwanja: 11 de Novembro, Luanda (ANG)

(Kundi K) Namibia 17:00 Burundi

Uwanja: Sam Nujoma Stadium, Windhoek (NAM)

(Kundi J) Ethiopia 17:00 Algeria

Uwanja: Addis Ababa Stadium, Addis Ababa (ETH)

(Kundi G) Egypt 19:00 Nigeria

Uwanja: Kujulikana baadaye

(Kundi D) Uganda 19:00 Burkina Faso

Uwanja: Mandela National Stadium , Kampala (UGA)

(Kundi M) South Africa 19:00 Cameroon

Uwanja: Moses Mabhida Stadium-Durban , Durban (RSA)

(Kundi F) Morocco 20:00 Cape Verde

Uwanja: Grand stade Marrakech , Marrakech (MAR)

(Kundi I) Sudan 20:00 Cote d'Ivoire

Uwanja: El Merriekh Stadium , Khartoum- Sudan (SDN)