Kyle Edmund achapwa na Benoit Paire

Mcheza Tenisi wa Uingereza Kyle Edmund amefungwa na Benoit Paire katika mzunguko wa pili wa michuano ya Tenisi ya Estoril Open.

Licha ya kushinda seti ya kwanza hadi Mapumziko, mchezaji huyo mwenye miaka 21 amefugwa seti 6-7 ,4-7, 6-3 6-3 na mpinzani wake kutoka Ufaransa.

Kwa upande mwingine York-shire Edmund, naye amefungwa na Muhispania Daniel Gimeno- katika raundi ya awali ya mchezo.

Sasa Benoit Paire ambaye yupo katika nafasi ya 21 katika viwango vya ATP atakutana na Mhispania Gui-llermo Garcia-Lopez.