Imeitimua Etincelles ya Rwanda

Timu ya Simba ya Tanzania leo imejihakikishia kucheza hatua ya robo fainalia ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup baada ya kuifunga Etincelles ya Rwanda kwa jumla ya magoli 2 - 0 katika mchezo wa kundi A uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam Tanzania

Image caption Simba SC iliyoitwanga Etincelles

.

Ushindi huo unaifanya Simba ifikishe pointi 7 na kuongoza kundi A ikufuatiwa na klabu kutoka Zanzibar Ocean View yenye pointi 6.