wanawake 'magaidi' waachiliwa Saudia

Saudi Arabia imewaachilia akina mama watano waliokamatwa kwa madai ya kuhusika na mtandao wa al Qaeda.

Wanawake hao walikanusha madia hayo huku wakidai kuwa kukamatwa kwao kumetokana na mwanabalozi mmoja wa Saudi Arabia kutekwa nyara.

wamedai kuwa imebidi wakamatwe kama njia moja ya kutimiza matakwa ya wateka nyara.