Salva Kiir amfurahisha Omar El Bashir

Sudan Kusini imeipendekezea jirani yake Sudan mpango unaohusisha mabilioni ya pesa kama njia ya kumaliza mgogoro kati yao.

Nchi hizo zimekuwa ziki zozana tangu mwaka mmoja uliopita baad ya Sudan Kusini kujipatia uhuru wake.

Lakini katika mpango huu mpya Sudan Kusini imependekeza kwamba itaongeza kiwango cha mafuta inacho safirisha njee kupita Sudan.

Hii itaisaidi serikali ya rasi Omar el Bashir kuweza kulipa