Rais wa Ufaransa kudhibiti vurugu Amiens

Imebadilishwa: 14 Agosti, 2012 - Saa 19:31 GMT

Rais wa Ufaransa Francois Hollande ameahidi kufanya kila analoweza kuimarisha ulinzi katika mji wa kaskazini nchini humo wa Amiens, baada ya usiku wa makabiliano makali kati wa wakazi wa mji huo na polisi.

Shule moja na kituo cha vijana vimechomwa moto na madereva wa magari wanaripotiwa kushambuliwa.

Bwana Hollande amesema usalama wa raia si tu ni la kipaumbele, bali pia ni sula la lazima.

Mayor wa jiji hilo la Amiens, Giles Dimelly amesema uhasama umekuwa ukijengeka kwa muda mrefu na kuwa watu waliofanya ghasia wanatoka katika familia masikini.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.