Ghasia tena mgodini Afrika Kusini

Imebadilishwa: 28 Agosti, 2012 - Saa 09:16 GMT

Kumekuwa na ghasia tena katika mgodi wa Marikana nchini Afrika Kusini, mahali walipouawa wachimba migodi ya madini 34 kwa kupigwa risasi na polisi mapema mwezi huu.

Haya yanajiri wakati uongozi wa chama tawala ANC umeitisha mkutano wa dharura kujadili mgawanyiko uliojitokeza kufuatia mauaji hayo.

Rais Jacob Zuma, anayekabiliwa na ushindani mkubwa wa uongozi wa chama cha ANC, amelaumiwa kwa namna alivyoshughulikia suala hilo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.