Wakimbizi wa Syria wanahitaji msaada zaidi

Imebadilishwa: 11 Septemba, 2012 - Saa 12:34 GMT

Mkuu wa shirika la umoja wa mataifa la kuwahudumia wakimbizi Antonio Guterres, ametoa wito kwa Jumuia ya kimataifa kuwasaidia wakimbizi kutoka Syria na mataifa waliokimbilia.

Shirika hilo inasema idadi ya wakimbizi kutoka Syria sasa imefikia lakini mbili na nusu.

Bwana Guterres alisema wanane kati ya wakimbizi kumi kutoka Syria wamekimbilia Jordan na kwamba hazina kubwa ya kimataifa inahitajika kukabiliana na janga hilo.

Wakati huo uchunguzi uliotekelezwa na gazeti moja nchini Jordan unaonyesha kuwa raia wengi wa taifa hilo wangetaka mpaka kati ya Jordan na Syria kufungwa kwa sasa.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.