Machafuko yaendelea Misri

Imebadilishwa: 14 Septemba, 2012 - Saa 11:19 GMT

Machafuko yanaendelea nchini Misri kupinga filamu inayodhihaki dini ya kiisilamu nchini Marekani.

Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji waliokuwa wanaelekea katika ubalozi wa Marekani na kuwasukuma nyuma hadi katika medani ya Tahrir.

Barabara mjini Cairo karibu na ubalozi, zimefungwa kwa kutumia nyaya pamoja na magari ya polisi.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.