Polisi 20 wa Misri wafariki Sinai

Imebadilishwa: 8 Oktoba, 2012 - Saa 13:47 GMT

Zaidi ya polisi ishirini wa Misri wamefariki kufuatia ajali ya barabarani, katika rasi ya Sinai, baada ya dereva wa gari lao kupoteza mwelekeo na kugonga lori.

Polisi wengine ishirini walijeruhiwa.

Polisi hao walikuwa sehemu ya kikosi cha polisi kutoka wizara ya usalama wa ndani ambao kwa ushirikiano na jeshi wamekuwa wakipambana na wanamgambo wa kiisilamu waliofanya msururu wa mashambulizi katika rasi ya Sinai.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.