Siku ya mtoto wa kike duniani yaadhimishwa

Imebadilishwa: 11 Oktoba, 2012 - Saa 15:22 GMT

Umoja wa mataifa umeadhimisha siku ya kwanza ya kimataifa ya wasichana duniani.

Lengo la siku hii ni kuangazia athari za ndoa za mapema kwa wasichana

Katika bara la Asia na Kusini mwa jangwa la Sahara, takriban nusu ya wasichana huolewa kabla ya kufikisha miaka kumi na nane

Mashirika ya Umoja wa Mataifa, yanasema kuwa ndoa za wasichana wadogo, ni ukiukwaji mkubwa wa haki za wasichana

Mengine yanayoangaziwa leo ni idadi kubwa ya vifo vya watoto wadogo pamoja na vifo vya akina mama , umaskini na dhulma za nyumbani.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.