UN kusaidia wakimbizi wa Syria Jordan

Imebadilishwa: 12 Oktoba, 2012 - Saa 14:05 GMT

Shirika la Umoja wa mataifa la kuwahudumia wakimbizi, UNHCR, limesema linajiandaa kuwasaidia, maefu ya wakimbizi wa Syria kukabiliana na msimu huu wa baridi.

Wanasema kuwa zaidi ya wakimbizi laki tatu tayari wamekimbilia nchi jirani na wanatarajia kuwa idadi yao itaongezeka mara dufu.

Maafisa wanasema kuwa watatoa dola milioni sitini na nne kugharamia chakula , mafuta , hifadhi na mavazi kwa wakimbizi hao ambao wengi wanaishi katika kambi nchini Uturuki, Jordan na Lebanon.

Wanasema kuwa watatoa msaada kwa waikimbizi ambao pia wako nchini Syria.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.