Waziri mpya wa sheria ateuliwa Japan

Imebadilishwa: 24 Oktoba, 2012 - Saa 10:22 GMT

Japan imemteua waziri mpya wa sheria baada ya aliyekuwa akishikilia wadhfa huo Keishu Tanaka kuondoka ofisini kwa kile alichotaja rasmi kuwa sababu za kiafya.

Makato Taki sasa amechukua wadhifa huo.

Keishu alikuwa ameshinikizwa kujiuzulu kutokana na madai kuwa alijihusisha na kundi lililotekeleza vitendo vya kihalifu.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.