Kimbunga Sandy chasababisha vifo Cuba

Imebadilishwa: 26 Oktoba, 2012 - Saa 12:50 GMT

Zaidi ya watu Ishirini wameuawa na kimbunga Sandy kilichokumba maeneo ya Carebean.

Kimbunga hicho pia kilisababisha mafuriko makubwa.

Aidha Sandy sasa kinatishia pwani ya mashariki ya Marekani.

Watabiri wa hali ya anga walikuwa wametoa tahadhari mjini Florida na inatarajiwa kuwa maeneo ya mashariki yataathirika pakubwa na mabadiliko ya anga juma lijalo.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.