Pengo kati ya maskini na matajiri lapanuka

Imebadilishwa: 1 Novemba, 2012 - Saa 10:15 GMT


Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la Save the Children linaonya kuwa pengo kati ya watu maskini na matajiri imekuwa kubwa sana katika miaka yake ishiriki ya kuanz akukuwa.

Shirika hilo linasema kuwa pengo hilo limekuwa kubwa na linawaathiri zaidi watoto.

Kwa mujibu wa Save the Children, linasema kuwa hali ya vifo vya watoto wachanga imepungua ingawa katika sehemu zingine bado kuna changamoto.

Ripoti yenyewe ambayo inakuja kabla ya mkutano mkuu wa umoaj wa amatifa kuhusu umaskini, inasema kuwa huenda hatua za hali kuimarika zikaathirika ikiwa hali hiyo haitashughulikiwa vyema.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.