Jaji mkuu mwanamke kung'olewa Sri Lanka

Imebadilishwa: 1 Novemba, 2012 - Saa 10:03 GMT

Chama tawala nchini Sri Lanka kimeanza mikakati ya kumng'oa mamlakani jaji mkuu, Shirani Bandaranayake, katika kile kinachoonekana kuwa hitimisho la mzozo kati ya serikali na mahakama nchini humo.

Msemaji wa serikali amekataa kuelezea ni mashtaka gani haswa anatuhumiwa nayo Bi Bandaranayake, ambaye hatamu yake inaisha rasmi baada ya miaka kumi na moja.

Aliteuliwa rasmi kama mwanamke wa kwanza kuwa Jaji mkuu wa Sri Lanka mwaka uliopita.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.