Rais wa Mauritania kurejea nyumbani

Imebadilishwa: 2 Novemba, 2012 - Saa 10:13 GMT
Mohamed Ould Abdel Aziz

Mohamed Ould Abdel Aziz

Familia ya rais wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz imesema kuwa bwana Abdel Aziz ananedelea kupata nafuu baada ya kupigwa risasi takribani wiki tatu zilizopita.

Inadaiwa alipigwa risasi na mmoja wa walinzi wake wa kijeshi kwa bahati mbaya.

Mtoto wake wa kiume aliwaambia waandishi wa habari kuwa baabake ataruhusiwa kutoka hospitali moja nchini Ufaransa na kurudi Mauritania hivi punde.

Kumekuwa na wasiwasi kuhusu kukosekana kwa Rais nchini humo.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.