Wafungwa wamaliza mgomo-Uturuki

Imebadilishwa: 18 Novemba, 2012 - Saa 13:37 GMT

Mamia ya wafungwa wa Kikurdi huko Uturuki wamemaliza mgomo wao wa kususia chakula, baada ya kuombwa kufanya hivyo na kiongozi wa wapiganaji wa Kikurdi aliyefungwa, Abdullah Ocalan.

Wafungwa hao wa Kikurdi, walikuwa wakitaka kifungo cha Ocalan kiimarishwe.

Bwana Ocalan ametengwa katika gereza ya kisiwa kimoja kilichoko Kusini ya Istanbul.

Wanaharakati kadhaa wamekuwa wakisusia chakula kwa zaidi siku 70 wakitaka hukumu wa kiongozi huyo ya Kikurdi kuimarishwa.

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.