Waasi Colombia walipua milingoti

Imebadilishwa: 26 Novemba, 2012 - Saa 06:30 GMT

Wanachama wa kundi kubwa zaidi la waasi nchini Colombia, FARC, wamesema kuwa walilazimika kulipua milingoti miwili ya umeme Jumanne iliyopita kwa kuwa hawakufahamishwa mapema kuhusu hatua ya kusitisha mapigano iliyokuwa imeshachukuliwa.

Viongozi wa kundi hilo wanafanya mazungumzo ya amani na serikali ya Colombia mjini Havana, Cuba, ili kujaribu kukomesha mgogoro nchini humo ambao umedumu miongo mitano.

Taarifa zinazohusiana

BBC © 2014 Ilani: BBC haihusiki na yaliyoandikwa na tovuti za nje ya BBC.

Ukurasa huu unaonekana vyema kwa kivinjari cha kisasa kikiwa na laha mtindo (CSS).Wakati unaweza kuona yaliyomo katika ukurasa huu kwa kivinjari ulichonacho, hautaweza kufaidi kuona kila kitu vizuri. Tafadhali zingatia uwezekano wa kuboresha progaramu ya kivinjari au kuwezesha laha mtindo (CSS) endapo unaweza kufanya hivyo.