BBC Online Network Contact Us | Help  | Text Only
Kiswahili
Ukurasa wa kwanza
Mita bendi
Michezo
Elimu
Historia
Anwani
In English
KWA SAUTI
03:00 na 04:00
15:30
17:45
French Africa
Arabic
Brasil
Great Lakes
Portuguese
Somalia
Swahili
BBC World Service
Learning English
Swahili
Michezo na Wachezaji

Katika kipindi hiki tunakuletea taarifa za michezo na wachezaji pote ulimwenguni, hususan Afrika Mashariki ambako kuna wanamichezo mashuhuri duniani.  Vile vile unaweza kusikia maelezo juu ya maisha na hali za wanamichezo hao.  Kipindi hiki kinatangazwa kila siku:

Ratiba ya makala ya Michezo:

Jumanne, Jumatano na Ijumaa Dakika tatu za michezo katika matangazo ya Dira ya Dunia saa 1530 GMT.
Jumatatu Dakika tano za michezo katika matangazo ya Amka na BBC saa 0300 na 0400GMT na pia katika Dira ya Dunia saa 1530 GMT.
Alhamis Dakika tano za taarifa mbali mbali za Michezo na Wachezaji katika Dira ya Dunia saa 1530GMT.
Jumapili Katika matangazo yetu ya saa 1530 GMT unaweza kusikiliza makala maalum ya Michezo na Wachezaji kwa muda wa dakika 30 zilizojaa taarifa na mahojiano juu ya matukio ya michezo na wanamichezo mashuhuri kutoka kwenye viwanja vya michezo duniani na hasa Afrika Mashariki na eneo la Maziwa Makuu.

Waandishi wa michezo:
Abdallah Majura, John Nene, Siraji Kalyango.

Wasiliana nasi kwa njia ya e-mail: swahili@bbc.co.uk


Weather

  
Network Africa
Focus on Africa
Viungo Vya Mtandao
Africa Online
  Magazeti ya Afrika
  All Africa News
The Monitor
  IPPmedia
  Gazeti la Nation na Redio ya Nation
  Gazeti la East African Standard
  Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)
BBC haina dhamana juu ya yale yaliyoandikwa katika kurasa za internet za mashirika mengine
 Wasiliana Nasi
 Email:swahili@bbc.co.uk
 Au tuandikie
 Bush House, Strand, London
 WC2B 4PH
 Tel: + 44 207 557 2502
 Fax:
+ 44 207 240 4637

^^ Back to top
blank
 Ukurasa wa kw anza
Mita bendi | Michezo | Elimu | Historia | Anwani | In English
© BBC World Service, Bush House, Strand, London WC2B 4PH, UK.
  Privacy Statement