Redio Washirika

Katika kuhakikisha usikivu mzuri zaidi wa matangazo pamoja na kuwa karibu na wasikilizaji wetu, BBC imekuwa ikishirikiana na baadhi ya vituo vya redio katika eneo la Afrika Mashariki.

Vituo hivi vya redio binafsi ni washirika wa BBC, ushirikiano wetu pamoja na mambo mengine ya kiufundi, umekuwa ukilenga zaidi kurusha matangazo ya BBC kupitia katika mafasa yao.

Tahadhari

BBC haihusiki na habari, taarifa au matangazo yanayorushwa na radio washirika, mbali na matangazo yanayofanywa na kusimamiwa na watangazaji wa BBC wenyewe.

Ifuatayo ni orodha ya baadhi ya vituo vya redio ambavyo ni washirika wetu:-

Tanzania

 • Radio One
 • Sky FM
 • Radio 5 Arusha
 • Radio Free Africa
 • Kiss FM

Kenya

 • Kameme FM
 • Sheki FM
 • Milele FM
 • Pamoja FM
 • West FM

Uganda

 • Magic 100

Kwa maelezo zaidi kuhusu upatikaji wa matangazo ya vituo hivi, tafadhali tembelea wavuti husika ambayo hata hivyo BBC haihusiki kwa yanayoandikwa.