Kuhusu Idhaa ya Kiswahili ya BBC

Idhaa yetu inaajiri waandishi wa habari na watangazaji kutoka nchi zote zinazozungumza Kiswahili na vile vile katika sehemu nyingine za Afrika.

Mkuu wa Idhaa: Ali Saleh.

Watangazaji waandamizi:

Alex Mureithi - Michezo

Watangazaji:

Idd Seif, Suluma Kassim, Charles Hilary, Mariam Omar, Peter Musembi, Salim Kikeke, Zawadi Machibya na Zuhura Yunus.

Ofisi ya Afrika Mashariki, Nairobi:

Mhariri: David Okwembah.

Watangazaji waandamizi: Caroline Karobia na Noel Mwakugu.

Watangazaji: John Nene, Ruth Nesoba, Anne Mawathe, Waziri Hamsini, Zainab Deen, Ng'endo Angela, Gladys Njoroge, Robert Kiptoo, Anne Waithera, Dina Gahamanyi, Ben Mwang'onda, Muliro Telewa, Dayo Yusuf, Anne Waithera, Odhiambo Joseph na Odeo Sirari.

Wanyama Chebusiri [Eldoret ], Jamhuri Mwavyombo [Mombasa] na Bashkash Jugsoday[Kaskazini Mashariki].

Dar Es Salaam, Tanzania:

Kaimu Mhariri: John Ngahyoma

Waandishi wa Habari: Hassan Mhelela [Dar Es Salaam], John Ngahyoma [Dar Es Salaam], Erick David Nampesya [Dar Es Salaam], Ally Saleh [Zanzibar], John Solombi [Dar Es Salaam], Aboubakar Famau [Dar Es Salaam] Tulanana Bohela [Dar Es Salaam]

Uganda:

Joshua Mmali na Siraj Kalyango

Burundi:

Kazungu Lozy na Ismail Misigaro

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Lubunga Byaombe na Patrice Chitera

Rwanda:

Yves Bucyana

Comoro:

Abubakar Omar (Mwandishi wa kijitegemea)

Nigeria:

Collins Atohengbe (Mwandishi wa kujitegemea)

Msumbiji:

Emmanuel Camillo (Mwandishi wa kijitegemea)

Afrika ya Kusini:

Omar Mutasa