Umupolisi umwe ari imbere ya sentare yagirizwa gutuka Mugabe

zimbabwe Uwufise ububasha kw’isanamu Reuters
Image caption Prezida Robert Mugabe

Afisa mmoja wa polisi amefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe baada ya kulaumiwa kwa kusema kuwa rais Robert Mugabe ambaye sasa ana umri wa miaka 92 ni mzee sana kuwa kiongozi.

Thomson Joseph Mloyi pia anadaiwa kumtukana mkewe rais Mugabe Grabe, kuwa kahaba kwa mujibu wa gazeti la kibinafsi nchini humo.

Bwana Mloyi aliachiliwa kwa dhamana ya dola 100 na anatarajiw kufikishwa mahakamani tena tarehe 15 mwezi huu.

Mugabe ndiye kiongozi wa umri mkubwa zaidi duniani baada ya kutimia umri wa miaka 92 mwezi uliopita.

Ibindi bisa n’ibi