Roger Federer kuendelea na Tennis

Roger Federer
Roger Federer

Mshindi wa Glam slam kwa mara ya 18 Roger Federer amesaini kuendelea kucheza tennis kwa kipindi cha miaka mitatu mpaka atakapotimiza umri wa miaka 38.

Federer mwenye umri wa miaka 35 ambaye alikosa kucheza nusu ya pili ya msimu uliopita kutokana na maumivu ya kifundo cha mguu ataendelea kucheza mpaka mwaka 2019.

Ratiba inaonyesha Federer atarejea uwanjani juma lijalo katika michuano ya wazi ya Dubai

Top Stories