BBC News, Swahili - Habari
Habari kuu
Moja kwa moja Mzozo wa DRC: Waasi wa M23 wadai kuuteka mji muhimu
Waasi wa M23 wanadai kuuteka mji muhimu wa Kitshanga/Kitchanga katika eneo la Masisi nchini DR Congo baada ya siku tatu za mapigano makali.
Tetesi 5 kubwa za soka Ulaya Jioni hii
Tetesi 5 kubwa za soka Ulaya Jioni hii
Marufuku ya kutoka nje inavyohusishwa na ongezeko kubwa la picha za ngono za watoto
Picha zinazoonesha watoto wadogo wakifanya vitendo vya ngono mbele ya kamera zinaongezeka kwa zaidi ya mara kumi tangu marufuku ya kutoka nje ya janga la corona, takwimu mpya zinaeleza.
Kupungua kwa idadi ya watu China kunaathiri vipi idadi ya watu duniani?
BBC Future inajibu maswali matano muhimu kuhusu kupungua kwa idadi ya watu nchini China na nini kinaweza kumaanisha kwa mwelekeo wa idadi ya watu duniani.
Makaburi ya Urusi ya wafungwa wa jeshi la Wagner waliokufa vitani Ukraine yafichuliwa
Mwishoni mwa kiangazi kilichopita, shamba lililo pembezoni mwa jumuiya ndogo ya wakulima kusini mwa Urusi lilianza kujaa makaburi mapya ya wapiganaji waliouawa nchini Ukraine.
Mtu aliyetumikia miaka 17 jela kimakosa kwa madai ya kuwaua wazazi wake
Asubuhi moja katika siku ya kwanza ya shule, Marty Tankleff, kijana Mmarekani mwenye umri wa miaka 17, aliamka na kumkuta mama yake amekufa na baba yake akivuja damu hadi kufa ofisini kwake.
Uchaguzi wa Nigeria 2023

Ni nani yuko kwenye kinyang'anyiro cha kuiongoza Nigeria?
Wafahamu wagombeaji walio kwenye kinyang'anyiro cha kuiongoza Nigeria katika uchaguzi wa Februari mwaka huu
Tetesi za soka Ulaya Januari 26.01.2023
Tetesi za soka Ulaya Januari 26.01.2023: Gordon, Ziyech, Hasenhuttl, Cancelo, Nunes, Porro
Frank Lampard: Kipi kimemuendea kombo kocha huyu aliyetimuliwa Everton?
Frank Lampard: Kipi kimemuendea kombo kocha huyu aliyetiumuliwa Everton?
Mechi kati ya Messi na Ronaldo inatoa taswira gani kwa mustakabali wa michezo
Mchezo wa kirafiki unaowashirikisha wachezaji nyota wa Argentina na Ureno mjini Riyadh ni mfano mwingine wa ongezeko la ushawishi wa kimataifa wa nchi za Ghuba katika michezo ya kimataifa.
Video, Mama wa Mtazania aliyeuawa vitani Ukraine: 'Nemes alikuwa akishinda kwenye kompyuta hata kula alisahau', Muda 1,16
Mama mlezi wa Mtanzania Nemes Tarimo aliyeuawa kwenye vita huko Ukraine, Roida Sambulika amemzungumzia kijana huyo kuwa alikuwa mpole na muda mwingi aliutumia kwenye kompyuta yake
Video, Video yaonyesha ndege ya Nepal ikiyumba muda mfupi kabla ya kuanguka, Muda 0,10
Ndege ilionekana ikigeuka ghaflainapoendelea kushuka
Video, Fahamu kuhusu tuzo ya BBC World News Komla Dumor iliyozinduliwa jijini Dar es Salaam, Muda 3,02
BBC imezindua Tuzo ya BBC World News Komla Dumor, ambayo sasa ni mwaka wake wa nane, ili kuwapa fursa waandishi wa habari Afrika kuibua na kukuza vipaji vyao.
Video, Tazama bosi wa mafia Matteo Messina Denaro alipokamatwa, Muda 0,29
Video inamuonyesha akiongozwa hadi kwenye gari kutoka kwa kliniki ya kibinafsi katika mji mkuu wa Sicily Palermo.
Video, Tazama jinsi wafuasi wa rais wa zamani wa Brazil wakivamia jengo la mahakama kuu nchini humo, Muda 0,18
Maelfu ya waandamanaji wenye mrengo wa kulia wanaonekana ndani ya jengo,, huku kundi lingine kubwa likionekana nje ya jengo hilo
Video, Mwanaume aokolewa asiburutwe chini ya treni yenye kasi India, Muda 0,25
Mwanaume huyo aliokolewa na mwanajeshi wa Kikosi cha Ulinzi cha Reli cha India (RPF)
Taarifa kuhusu Coronavirus
Janga la Corona miaka miwili: Mambo matano tuliyojifunza
Mnamo Machi 11, 2020, Shirika la Afya Duniani lilitangaza rasmi mlipuko wa Covid-19. Hivi ndivyo mambo yalivyobadilika
'Covid ilinihofisha nikagandisha yai langu'
Kliniki zinazoongoza za uzazi nchini Uingereza zinaendelea kushuhudia ukuaji wa matibabu ya kugandisha yai.
Omicron na Delta zasababisha tsunami ya kesi za covid-WHO
Walakini, Dk Tedros aliwaambia waandishi wa habari kampeni kubwa nchi tajiri kutoa chanjo za ziada "zina uwezekano wa kuongeza muda wa janga hili", kwani wanaelekeza vifaa kutoka kwa nchi masikini, ambazo hazina chanjo,
Kwa nini Afrika imeshindwa kufikia lengo la chanjo ya kimataifa
Lengo la kufikia 40% ya viwango vya chanjo kamilifu katika kila nchi hadi kufikia mwisho wa mwezi Disemba halijafanikiwa barani Afrika.
Nitajitunza vipi baada ya kupata Covid?
Ni lini inafaa kuondoka kwenye kiti au kitanda ?
Dalili za Omicron: Je mafua ni dalili ya virusi vya corona?
Je mafua yanaweza kuwa dalili ya Omicron?
Maswali yako matano kuhusu kirusi hatari cha corona yajibiwa
Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao.
Ramani mubashara hali ya coronavirus duniani
Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica
Tuyajenge
Namna gani unaweza kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi?
Jitihada za kupanda miti na kutunza mazingira kwa wakulima ni moja ya harakati zifanywazo nchini humo.
Sikiliza, Unapambanaje na ukatili wa kijinsia?, Muda 29,00
Shirika la Usawa wa KIjinsia linasema Jamii inapaswa kutambua kuwa ukatili wa kijinsia ni adui wa Maisha ya mwanadamu
Global Newsbeat

Argentina yashinda fainali ya Kombe la Dunia 2022 - katika picha
Argentina waibuka kuwa mabingwa wa Kombe la Dunia 2022 kwa mara ya tatu baada ya kuishinda Ufaransa.
Dira TV
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 30 Januari 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Dira Ya Dunia, 18:29, 27 Januari 2023, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 27 Januari 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 27 Januari 2023, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Gumzo mitandaoni
Papa Francis akosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja kuwa "sio haki" lakini ni 'dhambi'
Katika mahojiano na AP, Francis anakosoa sheria zinazoharamisha mapenzi ya jinsia moja na kutoa wito kwa maaskofu kuwakaribisha watu wa LGBTQ.
Je, tunaweza 'kudhibiti' radi kwa kutumia leza?
Timu ya watafiti inajaribu kutumia miale ya leza kugeuza miale ya radi kwenye mlima nchini Uswizi. Ikiwa majaribio yao yatafanikiwa kazi yao haiwezi tu kuzuia uharibifu wa majengo bali pia kuokoa maisha.
Je ni kweli mawe haya yanaweza kuwasha taa?
Je mawe haya kweli yanaweza kuwasha taa?
Utafiti unaonyesha kuwa 'moyo' wa Dunia umepunguza kasi yake
Kiini au 'moyo' wa Dunia ni mojawapo ya vipengele vya ajabu vya sayari yetu na uchunguzi wa kushangaza mara nyingi huonekana.
Marashi yanaua?: Baba atoa onyo baada ya msichana wa miaka 14 kufariki
Wazazi wa msichana aliyekufa baada ya kuvuta harufu ya manukato ya kujipulizia (deodorant) wametaka bidhaa hizi kuwa na lebo yenye uwazi zaidi kwa bidhaa ili kuwaonya watu kuhusu hatari zinazoweza kutokea.
Matumizi ya Lugha
Pengine kitu muhimu kabisa katika uandishi wa habari ni lugha. Kutumia lugha sawa na sahihi inawapa nafasi waandishi wa habari kuripoti habari na wakati huohuo kufuata mwongozo wa uhariri wa BBC. Lugha inaendelea na kubadilika; hapa utapata ushauri kuhusu lugha sahihi na isiyopendelea, athari za mitandao ya jamii juu ya lugha yako na mengi zaidi.
Sikiliza, Njia za kukabili habari feki mtandaoni, Muda 6,57
Habari za uzushi au habari feki zimekuwa zinasambazwa haraka, hasa katika mtandao wa internet. Vipi waandishi wa habari wazikabili.