Wapenzi wa Kichina wachumbiana michezoni Rio de Janeiro

Wachina wachumbiana michezoni Rio De Janeiro Haki miliki ya picha AP
Image caption Wachina wachumbiana michezoni Rio De Janeiro

Muogeleaji wa Kichina He Zi alikuwa amepokea medali yake ya fedha katika mchezo wa Springboard katika michezo ya Rio ya Olimpiki siku ya jumapili.

Image caption Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Lakini alipata zawadi nyengine wakati mpenzi wake Qin Kai mbele ya matangazo ya runinga yaliokuwa yakipeperushwa duniani kupiga goti moja na kumchumbia.

Kwa bahati nzuri ,Qin ambaye yeye mwenyewe alishinda medali ya shaba alikubali.

Image caption Wachina wachumbiana Rio de janeiro

''Tumekuwa wapenzi kwa miaka sita ,lakini sikudhani kwamba atanichumbia leo'',alisema.

Amesema kuwa :Vitu vingi vilileta ahadi nyingi ,lakini kitu kilichonigusa zaidi ni kwamba huyu ndio mtu ninayeweza kumuamini kwa maisha yangu yote.

Image caption Wachina wachumbiana Rio de janeiro

Watazamaji wamesema kuwa kisa hicho cha kipekee kilitawala sherehe za kutoa medali katika michezo hiyo.

Image caption Wachina wachumbiana Rio de janeiro