Wapelestina waandamana kupinga unyanyasaji wa wafungwa gerezani

Alikua kiongozi wa shambulizi lililosababisha mauaji ya polisi wawili Haki miliki ya picha SNS
Image caption Alikua kiongozi wa shambulizi lililosababisha mauaji ya polisi wawili

Mamia ya wapelestina wamefanya maandamano baada ya mtu mmoja kupigwa hadi kufa katika jela ya West Bank mjini Nablus.

Alikua kiongozi wa shambulizi lililosababisha mauaji ya polisi wawili katika maeneo hayo wiki iliyopita.

Wanaharakati wa haki za kibinaadamu wamelaumu jinsi wafungwa wanavyo shughulikiwa nchini Palestina ikiwemo unyanyasaji kuwa jambo la kawida.