Dereva wa Tz aliyetekwa nyara DRC asimulia masaibu
Huwezi kusikiliza tena

Dereva wa Tz aliyetekwa nyara DRC asimulia masaibu yake

Mmoja kati ya madereva nane wa Tanzania waliotekwa na wapiganaji wa Mai mai Jamuhuri ya demokrasia ya Congo,Asman Fadhil ameielezea BBC mkasa wa kutekwa kwao, na namna walivyookolewa na jeshi la nchi hiyo pamoja na maisha walioisha wakiwa mateka.

Mwandishi wetu David Nkya amezungumza na dereva huyo na kwanza akamuuliza mazingira ya kutekwao kwao yalikuwaje