Wazee wanyooshewa mkono baada ya mauaji ya kimbari Rwanda
Huwezi kusikiliza tena

Wazee wanyooshewa mkono baada ya mauaji ya kimbari Rwanda

Nchini Rwanda mashirika ya manusura wa mauaji ya kimbari kwa ushirikiano wa serikali wanao mradi unaosaidia kinamama wazee ambao ni wajane wa mauaji ya kimbari na ambao pamoja na uzee wao waliachwa bila mtoto au mtu mwingine katika familia zao wa kuwasaidia.

Maajuza hao wajane wa mauaji ya kimbari walijengewa nyumba za kifahari zinazopatikana sehemu mbali mbali nchini humo wakiwa na watu wa kuwasaidia kuwasindikiza katika maisha ya uzeeni.

Mwandishi wa BBC Yves Bucyana alitembelea baadhi na hii hapa ni taarifa yake.