Muziki wa Rwanda waanza kuvuka mipaka
Huwezi kusikiliza tena

Eric Mucyo na Hope Irakoze wanaotamba na Vimbavimba

Muziki wa Kizazi kipya nchini Rwanda umeanza kuvuka mipaka ya nchi hiyo na kuzikonga nyoyo za mashabiki katika ukanda wa Afrika Mashariki na kati.

Mwandishi wetu Arnold Kayanda ametembelea nchi ya Rwanda na kuzungumza na Eric Mucyo na Hope Irakoze wa Kundi la 3 Hills wanaotamba na wimbo VIMBAVIMBA.