Paul Ryan arejea kwa kishindo

USA Haki miliki ya picha Google
Image caption Paul Ryan spika wa bunge la wawakilishi Marekani

Wajumbe wa baraza la Congress kwa tiketi ya chama cha Republican nchini Marekani kwa kauli moja wamemchagua bila kupingwa Paul Ryan kuendelea kushika madaraka yake makubwa ya Spika wa Baraza la Wawakilishi .

Kutakuwa na upigaji kura kwa baraza zima ambapo wajumbe wa chama cha Republican wana kura ya turufu mkononi kumthibitisha bwana Ryan katika jukumu hilo mnamo mwezi January.

Awali Ryan alishtushwa na uteuzi wa Donald Trump kuwania nafasi ya urais lakini baadaye amempongeza tangu aliponyakuwa nafasi ya kuwa rais mteule .Ryan alitangaza alfajiri mpya, dhidi ya serikali umoja Republican na alisema alikuwa msaada Mr Trump ya Alitangaza mwanzo wa serikali mpya ya chama cha Republican iliyoungana na kuongeza kuwa amepata uungwaji mkono na Rais huyo mteule Donald Trump.