Abu-Zakariya al-Britani ndiye aliyejilipua Mosul

Huyu ndiye Abu-Zakariya al-Britani wa IS
Maelezo ya picha,

Huyu ndiye Abu-Zakariya al-Britani wa IS

Mpiganaji wa kundi la kigaidi la IS aliuawa katika shambulio la bomu huko Mosul nchini Iraq ni mfungwa wa zamani katika gereza la Guantanamo Bay,BBC imebaini.

Duru za usalama pia zimesema kuwa mtu siku mbili zilizopita Abu-Zakariya al-Britani alijitoa muhanga katika shambulio la mabomu yaliyo tegwa ndani ya gari lengo ikiwa ni kushambulia kambi ya jeshi ya Tal Gaysum, kusini magharibi mwa Mosul.

Hadi hivyo anafahamika pia kwa majina ya Ronald Fiddler,ambaye alikuwa akitoka Manchester na alipelekwa katika gereza la Guantanamo Bay mwaka 2002.

BBC imefanikiwa kuona baadhi ya nyaraka za mawasiliano ya kundi hilo la kigaidi la Islamic State zilizosainiwa na