'Propesa': Umaarufu wa ucheshi mitandaoni Kenya
Huwezi kusikiliza tena

'Hallo William, ni sisi..." Vijana wanaomtania naibu rais wa Kenya

Ucheshi kupitia katika mitandao ya kijamii nchini Kenya unazidi kupata umaarufu ambapo vijana wabunifu wamejikuta nao wakiamka ghafla na kujikuta wamepata umaarufu.

Mfano mzuri ni Kimutai Ruto almaarufu Propesa ambaye ucheshi wake umejikita katika kuwaigiza wanasiasa na hasa pale ambapo huonekana akimpigia simu naibu rais wa Kenya William Ruto ili amuokoe katika shida mbalimbali.

Kimtai amezungumza na mwenzetu Anthony Irungu.