Michoro ya sanaa ya kisasa Tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Michoro ya sanaa ya kisasa ina umaarufu kiasi gani Tanzania ?

Ni msanii ambaye kazi zake zimesambaa nchini Tanzania lakini si wengi ambao wanamfahamu msanii mwenyewe.

Ibrahimu Kejo, ambaye moja ya kazi yake inayofahamika zaidi ni ule mchoro mkubwa wa mita kama 70 hivi unaoning'inia katika Ikulu ya Dar es Salaam ni mmoja wa wasanii wachache wa michoro ya sanaa ya kisasa au Contemporary art.

Ndoto yake ni kuona ainaiweka Tanzania katika ramani ya dunia katika michoro ya aina hiyo.

Sammy Awami alitembelea maonyesho yake na kuzungumza nae juu ya kazi zake