Zika yazimwa Brazil

Mtoto mwenye maradhi ya Zika Haki miliki ya picha EPA
Image caption Mtoto mwenye maradhi ya Zika

Brazil imetangaza kuwa hali ya hatari ya kitaifa iliyokuwa umehusishwa na virusi vya Zika imemalizika rasmi.

Tishio la Zika - lililosababisha watoto wengi kuzaliwa na vichwa vidogo sana.

Tatizo hilo lilikuwa kubwa sana mwaka jana wakati Brazil ilipokuwa ikijiandaa kuwa mwenyeji wa michezo ya Olimpiki.