Habari za Global Newsbeat
Huwezi kusikiliza tena

Manchester United wameshinda kombe la Uropa kwa kuifunga Ajax Magoli 2-0

Manchester United wameshinda fainali ya Kombe la Ulaya kwa kuifunga Ajax Amsterdam mabao 2-0 mjini Stockholm Sweden.

Magoli ya Paul Pogba na Hendrick Mkhitaryan yameipa United Kikombe cha pili na nafasi ya kucheza Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao.

Kwingineko BBC imearifiwa kwamba polisi wa Uingereza wameacha kubadilishana taarifa za usalama kuhusu shambulio la Manchester, baada ya kufichuka kwa taarifa zinazonaminika zilitolewa na majasusi wa Marekani.

Sikiliza hayo na mengine mengi.