Habari za Global Newsbeat 1500 EAT 26/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Je, muziki wa Rhumba unaweza ukashindana na Bongo Fleva?

Kwenye Global Newsbeat leo tunaomba kauli yako kuhusu muziki wa Rhumba na Bongo Fleva.

Ni upi unaotawala? Kwa kiasi kukubwa, nchini Tanzania Bongo fleva inatamba lakini kuna wasanii wengine wamejitosa katika muziki wa Rhumba. Mfano ni msanii TILIONEA . Sikiliza na uchangie maoni yako!