Habari za Global Newsbeat 1000 30/05/2017
Huwezi kusikiliza tena

Habari za Global Newsbeat 1000 30/05/2017

Mwanahabari wa BBC alipoutembelea mji wa Pakistan alitaka kunyolewa nywele zake kama ada yake anavyonyolewa akiwa mjini London, ni eneo la Mirpur peke yake ndiko angeweza kupata huduma hiyo.

Je mitindo ya nywele ina umuhimu wowote kwako? Tuwasiliane kwenye Facebook BBCSwahili.com