Kenya imejitayarisha vipi kukabiliana na ukosefu wa usalama wakati wa Uchaguzi?

Kenya imejitayarisha vipi kukabiliana na ukosefu wa usalama wakati wa Uchaguzi?

Mwishoni mwa juma Serikali imekana tuhuma zilizotolewa na upinzani kwamba kuna mipango ya kutumia jeshi la ulinzi wa taifa - KDF - kutatiza uchaguzi nchini.

Inasisitiza kwamba ni jitihada za kudumisha amani na kuondosha tishio lolote kwa usalama.

Suala kuu hapa ni je taifa hili limejitayarisha vipi kukabiliana na visa hivyo vya ukosefu wa usalama vinavyoathiri sio tu ukuwaji wa uchumi bali na mengine mengi?

Mchambuzi wa masuala ya usalama Kenya, George Musamali amezungumza na Maryam Dodo Abdalla.