Dira ya Dunia Tv yazungumza na Kassim Kayira aliyekuwa mwandishi wa BBC
Huwezi kusikiliza tena

Dira ya Dunia Tv yazungumza na Kassim Kayira aliyekuwa mwandishi wa BBC

Kassim Kayira alikuwa mmoja wa waandishi wa mwanzo wa Dira ya Dunia TV mjini London, lakini sasa hivi amehama licha ya kwamba anaendelea na uandishi wa habari. Anakumbuka enzi zake akiwa nasi hapa BBC London.